0


No automatic alt text available.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe Samia, Suluhu Hassan leo amewaongoza Watanzania katika maadhimisho ya siku ya wakulima na Wafugaji nchini Tanzania ambapo kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.

Katika Kilele hicho cha Nane Nane Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu, ametembelea mabanda mbalimbali yakiwemo ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi yaliyopo katika viwanja hivyo ikiwa ni pamoja na kuhutubia wananchi na wakulima na Wafugaji watakaojitokeza katika maadhimisho hayo.
Image may contain: text

Licha ya Sherehe hizo Kilele chake Kitaifa kufanyika Mkoani Lindi kwa Kanda ya Kusini Lakini Nyanda za Juu Kusini yatafanyika katika viwanja vya viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya, Kanda ya kati ni Nzuguni Mkoani Mbeya, Kanda ya Kaskazini yatafanyika jijini Arusha na Kanda ya Mashariki yatafanyika mjini Morogoro.


Image may contain: foodImage may contain: text.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top