Shirikisho la soka Ulimwenguni (FIFA) hapo jana limetoa orodha
mpya ya ubora wa viwango vya soka Duniani kwa nchi Wanachama , na Vinara
wake bado ni Argentina wakifuatia Brazil na kwa Afrika ni Misri ndio
wapo juu kabisa huku Tanzania ikishuka Nafasi 2 na kukamata Namba 158.
5 Bora kwenye orodha hiyo zimebaki zile zile bila mabadiliko na nazo ni Argentina (1), Brazil (2), Germany (3), Chile (4) na Belgium (5).
Kwa Afrika, Nchi ambayo iko juu kabisa ni Misri, waliotolewa Fainali ya AFCON 2017, ambao sasa wapo Nafasi ya 23 baada kupanda Nafasi 12 wakifuata Senegal walio Nafasi ya 31 na Mabingwa Wapya wa Afrika ambao ni Cameroon, wapo Nafasi ya 33 baada kupaa Nafasi 29.
Orodha hiyo ni;
Kwa upande wa Afrika Misri wamekuwa vinara kwa kukwea kwa nafasi 12 na kutua kileleni wakiwa nafasi ya 23, wakifuatiwa na Senegal walioko nafasi ya 31 huku mabingwa wa michuano ya Mataifa ya Afrika Cameroon nao wakikwea kwa nafasi 29 mpaka nafasi ya 33 duniani.

- Argentina
- Brazil
- Germany
- Chile
- Belgium
- France
- Colombia
- Portugal
- Uruguay
- Spain
- Switzerland
- Wales
- England
- Poland
- Italy
- Croatia
- Mexico
- Peru
- Costa Rica
- Iceland
Kwa upande wa Afrika Misri wamekuwa vinara kwa kukwea kwa nafasi 12 na kutua kileleni wakiwa nafasi ya 23, wakifuatiwa na Senegal walioko nafasi ya 31 huku mabingwa wa michuano ya Mataifa ya Afrika Cameroon nao wakikwea kwa nafasi 29 mpaka nafasi ya 33 duniani.
Post a Comment
karibu kwa maoni