0
Sura mpya ya Rais Joseph KabilaHaki miliki ya pichaRTNC
Image captionSura mpya ya Rais Joseph Kabila
Rais wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Joseph Kabila amesema kuwa atamteua waziri mkuu ndani ya saa 48 zinazokuja wakati akihutubia wabunge mjini Kinshasa.
Hata hivyo Rais Kabila leo ameoneka akiwa na sura tofauti kinyume na kawaida yake. Kabila ambaye kawaida hunyoa nyele kabisa, leo ameoneka akiwa na nywele nyingi kichwani pamoja na masharubu.
Wadhifa huo wa waziri mkuu utashikiliwa na mwanachama upinzani kama sehemu ya makubaliano yaliyoongazwa na kanisa katoliki.
Kabila pia aliahidi kuandaa uchaguzi baadaye mwaka huu lakini hakutangaza tarehe kamili.
Kabila kawaida hunyoa nyele kabisa
Image captionKabila kawaida hunyoa nyele kabisa

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top