Hofu na uwoga ulizuka mjini Kitwe baada ya kiumbe cha ajabu kuonekana juu mawinguni .
Walioshuhudia tukio hilo waliripoti kuwa kiumbe hicho kilikuwa na urefu wa mita 100 na kuwa kilionekana mawinguni kwa muda wa dakika 30 kisha kikatoweka.
Kiumbe hicho kilitokea katika duka kubwa la reja reja la Mukuba.
Watafiti na mashuhuda wameelezea kuwa kiwiliwili cha kiumbe hicho hakikuwa kimetengezwa kutokana na mawingu .
Watu wengine walianza kuomba kwa imani kuwa ilikuwa ishara ya kiroho huku wengine wakitoroka kwa hofu na uwoga.
Post a Comment
karibu kwa maoni