0
Leo ni fainali UEFA Juventus anamenyana na Real Madrid ,ni kipindi cha pili matokeo ni bao 1-1.
Kubwa ni kwamba mshindi katika mchezo wa leo ameaidiwa gari hili la kifahari.
 Mchezo huu  wa fainali ya UEFA Champions League msimu wa 2016/2017 unapigwa  katika uwanja wa Millenium jijini Cardiff nchini  Wales.
 Huu ni mchezo ambao una  mvuto wa hali ya juu kutokana na historia ya michuano hiyo ambayo ni mikubwa barani Ulaya, kuelekea game hiyo beki wa Juventus Dani Alves ameweka wazi zawadi waliyoahidiwa na Rais wa club yao.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top