AJALI YAUA TENA WAWILI MKOANI MANYARA.
Baada ya siku tatu kupita tangu kutokea ajali ya gari huko Haydom wailayani Mbulu na kusababisha vifo vya watatu na majeruhi 22,katika wi;aya ya Babati watu wawili wamepoteza maisha kwa ajli tena.
Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Francis Masawe huyu hapa anzungumzia ajali hiyo.
Post a Comment
karibu kwa maoni