Rais amemwambia Spika; "Nitakuletea huu mzigo ili muweze kuipitia kule kwa maslahi mapana ya taifa letu, kwa wale watakaokua wanaropokaropoka….. unaenda vizuri
"Tumia
mbinu hiyohiyo ya kuwafanya wasiropokee Bungeni, waropokee nje na kule
tutadili nao vizuri kwasababu wanapokua kule ndani wana kinga wanaweza
wakatukana chochote, sasa kinga wanayoitumia vibaya bungeni kainyooshe
wewe.
"Wawe
wanatoka kule bungeni, ukishamfukuza hata mwezi mzima… atakuja aropokee
huku, na mimi nakueleza waache waropokee huku nitadili nao, wala
siwatishi lakini hatuwezi kuwa kwenye vita wewe unaanza kugeuka kupiga
wale wanaokwenda mbele…. ni nafuu unyamaze ukalale
"Mimi
muda wangu utapita, tena ningetamani kweli hata ingekua mwaka huu tu
niondoke niwaachie na wengine niwe nachungulia tu, saa nyingine hulali
usiku kucha unahangaika documents ziko nyingi… saa nyingine nauliza
Mungu kwanini ulinipa hii kazi, ni kazi ngumu"
Post a Comment
karibu kwa maoni