Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Mwendwa Judith Malecela
amejiuzulu wadhifa wake huo kuanzia leo baada ya Rais Magufuli
kukubaliana na ombi la jaji huyo aliyetaka kujiuzulu wadhifa wake.
Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu leo imesema kuwa Rais Magufuli
amekubaliana na ombi la Jaji huyo hivyo kuanzia leo tarehe 20 Juni, 2017
Judith Malecela hatakuwa tena Jaji wa Mahakama Kuu.
Isome hapatarifa kamili ya kujiuzu kwa jaji mkuu .
Post a Comment
karibu kwa maoni