0

Wakazi wa mkoa wa Manyara wameuomba mtandao wa simu za mkononi airtel kuboresha huduma zao zaidi ikiwa ni sambamba na kuongeza ukubwa wa maandishi kwenye vocha zao kwani kwa sasa maandishi yake ni hafifu hali inayowafanya wenye uono hafifu kuomba msaada wa kuwekewa vocha katika simu.
Pamoja na hayo wateja hao wakizungumza kwa nyakati tofauti wameupongeza mtandao huo kwa kuwa na vocha ya shilingi mia mbili tu maarufu kama TABASAMU VOCHA.

Airtel wamekuletea Tabasamu vocha kwa Tshs 200 tu, ndio mtandao pekee wenye vocha ya Tshs 200 tu.
Sasa ukiwa na Tshs 200 tu! UNATABASAMU maana unaweza kununua vocha, iwe dukani kwa mangi, vijana wa mauzo wa Airtel au wachuuzi wote wa vocha nchini.
La kukuongezea Tabasamu zaidi nikwamba Tshs 200 haijaishia kwenye vocha tu, unaweza pia kununua bando, hii ni baada ya kununua vocha yako na kuongeza salio utapiga *149*99# kisha utachagua
·   Tatu Kupiga Airtel kwenda mitandao mingine AU
·    Nne kupiga Airtel kwenda Airtel
Hii ni njia sahihi ya maisha, Hamia Airtel leo
Airtel Mtandao bomba kwa smartphone yako

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top