Mbunge wa
Kawe, Halima Mdee amesomewa shtaka moja la kumtukana Rais John Magufuli katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mdee alisomewa kosa hilo mbele ya Hakimu Mkazi
Victoria Nongwa na wakili wa serikali Nassoro Katuga ambapo
imeelezwa mshtakiwa anakabiliwa na kosa moja.
Mbunge
wa Kawe, Halima Mdee amesomewa shtaka moja la kumtukana Rais John Magufuli
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mdee alisomewa kosa hilo mbele ya
Hakimu Mkazi Victoria Nongwa na wakili wa serikali Nassoro Katuga ambapo
imeelezwa mshtakiwa anakabiliwa na kosa moja.
Katuga
alidai kuwa July 3, 2017 katika Ofisi za Chadema makao makuu, alimtukana Rais
Magufuli kwa kumwambia ” Anaongea ovyo ovyo, anatakiwa afunge break,”.
Baada ya kusomewa kosa hilo, Mdee alikana kosa.Wakili Katuga alisema upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika anaomba kesi iahirishwe.
Baada ya kusomewa kosa hilo, Mdee alikana kosa.Wakili Katuga alisema upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika anaomba kesi iahirishwe.
Mdee
amedhaminiwa kwa bondi ya shilingi milioni kumi na wadhamini wawili ambapo kesi
imeahirishwa hadi Agosti 7, mwaka huu.
Post a Comment
karibu kwa maoni