DC Mofuga ameeleza kuwa Mkuu huyo aliruhusu mwanafunzi kusoma akiwa mjamzito na kuendelea na masomo pia baada ya kujifungua huku kitabu cha mahudhurio akionekana kuhudhuria kama kawaida.
>>>”Anaruhusu mjamzito kusoma akiwa shuleni. Ameenda kujifungua bado mahudhurio yanaonesha bado alikuwa shuleni. Badala ya kutafuta wahalifu waliompa mimba mwanafunzi, yeye anamuweka shuleni.” – DC Mofuga.
Post a Comment
karibu kwa maoni