0
Image result for POLISI TANZANIA 
Leo polisi imefikisha miaka 98 tangu lilipoanzishwa kwa mara ya kwanza Agosti 25 1919 na waingereza.
Lilianzishwa kwa lengo kwa lengo la kuwatumikia wakoloni makao makuu yakiwa Lushoto mkoani Tanga.
Lilikuwa likijulikana kama jeshi la polisi Tanganyika.
Kituo cha kwanza cha polisi nchini Tanganyika kilifunguliwa huko Lupa Tingatinga kwenye machimbo ya dhahabu Chunya mwaka 1925.
Mwaka 1930 makao makuu ya polisi yalihamishiwa Dar es Salaam kutoka Lushoto na baada ya uhuru 1961 lengo likawa kuwatumikia wananchi.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top