Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Rais wa TLS na Mwanasheria wa
CHADEMA amekua
akishikiliwa na Polisi kwa siku mbili ambapo ilidaiwa na CHADEMA kwamba
ni makosa mawili yaliyofanya akamatwe likiwemo moja la uchochezi.
Taarifa za jioni hii ni kwamba Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana na
Polisi baada ya kumshikilia kwa hizo siku mbili tangu alipokamatwa
ghafla August 22, 2017.
Post a Comment
karibu kwa maoni