Tume ya Utumishi wa Walimu Wilaya ya Chamwino, Dodoma, imewafukuza kazi
walimu 15 wa shule za msingi na sekondari wilayani humo, kwa kosa la
utoro kazini akiwamo ambaye ametoroka kazini kwa siku zaidi ya 400 na
kukimbilia kufundisha shule binafsi.
Kaimu Katibu Msaidizi wa Tume hiyo wilaya ya Chamwino, Khalidi Shabani amesema tatizo la utoro kwa walimu limeendelea kukua katika wilaya hiyo kutokana na walimu watoro kulindwa na baadhi ya viongozi wanaozuia hatua stahiki kuchukuliwa dhidi yao.
Post a Comment
karibu kwa maoni