Baraza
la Habari Tanzania ‘MCT’ limesema limesikitishwa na jaribio hilo la
mauaji dhidi ya Mbunge na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu
Katika
taarifa yake kwa vyombo vya habari kupitia kwa Katibu Mtendaji Kajubi
Mkajanga September 11, 2017 Baraza hilo linaungana na wapenda amani na
wadau wa habari na wa haki ya kujieleza na kutoa maoni kulaani kitendo
hicho.
Post a Comment
karibu kwa maoni