September 20, 2017 Taarifa kutoka Ofisi
ya Bunge imeeleza kuwa siku za hivi karibuni kumeibuka tabia kwa baadhi
ya Wanasiasa na wananchi kulishambulia Bunge na viongozi wake kwa kutoa
maelezo potofu kwamba Bunge la Kumi na Moja halina meno, halitekelezi
wajibu wake ipasavyo na kwamba limetekwa na Serikali.
Aidha, taarifa hiyo imesema kuwa kwa kutumia lugha za kejeli, matusi
na uchochezi watu watu hao wamekuwa wakilikebehi Bunge na Viongozi wake.

Post a Comment
karibu kwa maoni