Golikipa wa Rayon Sports, Evariste Mutuyimana aliyedaka kwenye mechi
dhidi ya Simba siku ya Simba Day jijini Dar es Salaam katika uwanja wa
Taifa , amefariki dunia leo Jumanne kwenye Hospitali ya Kigali nchini
Rwanda.
Shirikisho la Soka Rwanda (FERWAFA) limethibitisha kutokea kwa kifo cha mchezaji huyo, huku likitoa salamu za pole kwa klabu ya Rayon Sports.
Shirikisho la Soka Rwanda (FERWAFA) limethibitisha kutokea kwa kifo cha mchezaji huyo, huku likitoa salamu za pole kwa klabu ya Rayon Sports.
Mchezaji huyo alijiunga na klabu hiyo msimu wa mwaka 2016/17 akitokea Sofapaka FC ya Kenya.
Post a Comment
karibu kwa maoni