0
Msanii kutoka kundi la Wanyika Camp linaloongozwa na Joe Marijani Single B ameachia wimbo mpyaa aliomshiriksha Kharda the Truth.
Mzigo unajulikana kwa jina la Usinifundishe Uoga,ikiwa imesimamiwa na Pruducer anaekuja kwa kasi Mr. Perfume kutoka Studio za Town Records,ndani ya noma hii kuna mashairi makali na ujumbe pia ichukue uisikilize.Kundi linaloongozwa na Joe Marijani

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top