0
Mkurugezi wa chuo cha City Media College jijini Arusha Geofrey Wambura anapenda kuwatangazia kuwa sasa chuo kimeongeza kozi nyingine kama ifuatavyo.:
City Media College ARUSHA , tunatangaza nafasi za masomo kwa mhula wa masomo 2017/2018, Kwa intake ya Mwezi Nov na kuendelea, kwamba tutapokea vijana katika fani za
1. Uandishi wa Habari na utangazaji,
2. Ufundi wa Umeme wa majumbani na viwandani,
3. sound recording na video production,
4. Tourism and tour guide,
5. Hair dressing and Beauty,
6. Welding, na nyingine nyingi.
Wewe kijana uliyehitimu elimu ya sekondari unakaribishwa ili uweze kujifunza Fani kwa ada nafuu kabisa . Wengi wamepata ajira baada ya masomo.
Tupo Arusha, Sanawari.
KWA MAWASILIANO TUPIGIE KUPITIA Namba za simu hizi hapa chini

.
0768 448844, 0788 809595.
WOTE MNAKARIBISHWA.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top