0
Tunapenda kuchukua fursa hii kushukuru kwanza Mwenyezi Mungu aliyetupa pumzi hii bure Mpaka leo na pili kuwashukuru Wadau wote sana, kwa support yenu kubwa sana mnayompatia kijana wenu, Msani wenu Joe Marijani. Oktoba 10,2017 Msani wenu Joe Marijani anatupa burudani mpya inayokwenda kwa jina "Make Money" ikiwa  ni nyimbo ya Mwisho kutoka katika Album yake Mpya ilitoka Tarehe 1.7.2017 inayokwenda kwa Jina LA "MONEY LOVE POLITCS" (MLP), inayoendelea kufanya vizuri sana kwenye soko LA Album la Dunia kama Tidal, Sportfy, Apple music, ITunes, Amazon,Google store  n.k.
Tunaomba support zenu zaidi ili tuendelee kuwakilisha vizuri na kutoa  burudani Kali zaidi tunawaahidi Hatutowangusha.
#SambazaMzikiMzuri
imeandikwa na
         A
For UP DATE  MUSIC

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top