0
Mama
wa Muigizaji Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka na kusema
kwamba leo atakwenda makaburi ya kinondonni alipozikwa mwanaye ili
kwenda kumzika upya.

Mama
Kanumba ametoa kauli hiyo muda mfupi baada ya Mahakama Kuu kumhukumu
kifungo cha miaka miwili Muigizaji Elizabeth Michael ambaye alikuwa
mtuhumiwa katika kesi ya mauaji bila kukusudia yaliyopelekea kifo cha
muigizaji huyo.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top