RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KWA ASKARI 14 WA JWTZ WALIOUAWA DR. 10:57:00 PM w 0 Habari moto kitaifa A+ A- Print Email Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha askari 14 wa Jeshi la JWTZ kuuawa walipokuwa katika operesheni ya kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Post a Comment
karibu kwa maoni