MAGUFULI ASISITIZA SHULE ZA SERIKALI HAKUNA MICHANGO. 10:36:00 PM w 0 Habari moto Kimataifa, Habari moto kitaifa A+ A- Print Email Rais Dkt. John Magufuli ameendelea kupigilia msumari kwa kupiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za Serikali za msingi na Sekondari na kuwaagiza waziri Suleiman Jaffo na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kusimamia hilo.
Post a Comment
karibu kwa maoni