
Manchester United wamepanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa
ligi kuu ya England baada ya kuilaza Everton kwa mabao mawili kwa bila
kwenye mchezo uliopigwa kwenye dimba la Goodson Park.
Anton Martial na Jesse Lingard ndiyo mashujaa wa United katika mchezo
huo uliopigwa usiku wa kuamkia leo baada ya kuwaandikia mashetani hao
wekundu magoli katika dakika za 57 na 81.
Post a Comment
karibu kwa maoni