Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA
Freeman Mbowe ameiomba serikali kuingozea nguvu Tume ya maadili ili
kuboresha utendaji kazi wake na kuongeza nguvu katika kuwatumikia
wananchi.
Akizungumza na wanahabari nyumbani kwake jijini Dar es salaam katika kuwashukuru na kuwapongeza kwa kumaliza mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018 Mbowe amesema kutokana na kazi kubwa ya kuwatumikia kundi kubwa la viongozi Tume hiyo inapaswa kuongezewa watendaji.

Post a Comment
karibu kwa maoni