0


MSANII wa Bongo Fleva, Ambwene Yessayah  ‘AY ‘ amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Remy.

Wawili hao wamefunga ndoa ya kimila jana nchini Rwanda ambako ndipo anatokea mpenzi wake huyo. Bado AY au watu wake wa karibu hawajaposti katika mitandao ya kijamii kuelezea tukio hilo.

Julai mwaka jana, 2017,  AY alimvisha pete ya uchumba Remy na tukio hilo lilihudhuriwa na watu wa karibu wa wawili hao.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top