Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Arusha Gabriel Kivuyo
amekihama chama hicho kwa madai ya viongozi wake ikiwemo Mbunge
kuwadharau pamoja na kitendo cha kutolewa nje kwenye kikao cha Mameya
kwa tuhuma za kuwarekodi.
Akizungumza wakati akipokelewa na Katibu wa CCM wilaya Musa Matotoka amesema hata akipata matatizo nakumtafuta Mbunge amekuwa hapatiwi ushirikiano.
Akizungumza wakati akipokelewa na Katibu wa CCM wilaya Musa Matotoka amesema hata akipata matatizo nakumtafuta Mbunge amekuwa hapatiwi ushirikiano.
Post a Comment
karibu kwa maoni