
Mtu
huyo anasemekana kuwa kiongozi wa kundi kubwa la wezi hao wa mtandao
duniani ambao walikuwa wanaendesha kampeni za software za Carbanak na
Colbat ambazo zilikuwa zinaibia mabenki.
Mamlaka zinaeleza kuwa kundi hilo lilianza mwaka 2013 na liliibia benki takribani 100 kwa wakati huo.
Pesa
hizo ziliibwa kwa kupitia njia za benki za kuhamisha fedha ambazo
zinatolewa moja kwa moja kwenye mashine za kutolea fedha (ATM).
Post a Comment
karibu kwa maoni