0


Kikosi cha City kimevuka boda ya Kasumulo kuelekea nchini Malawi leo hii kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Karonga United.

Mbeya imeamua kwenda nje ya Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya mechi zake zijazo za Ligi Kuu Bara
 

Timu hiyo ipo katika nafasi ya 8 kwenye msimamo wa Ligi Kuu nchini ikiwa imecheza jumla ya mechi 22 sawa na Ruvu Shooting amabayo ipo nafasi ya 9 kutokana uwiano tofauti wa mabao ya kufunga na kufungwa.

KIKOSI CHA MBEYA CITY KIKIWA BODA KUELEKEA MALAWI


Safari hiyo imekuwa si ya kwanza kwa Mbeya City kuelekea Malawi kwani imekuwa ikisafiri mara kwa mara haswa kipindi cha maandalizi ya msimu mpya unapokaribia.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top