0

Image result for result 
Ligi daraja la tatu mkoa wa Manyara imeendelea tena leo kwa michezo miwili kupigwa katika uwanja wa chuo cha Ufundi stadi [VETA] Nangwa wilayani Hanang ambapo mchezo wa kwanza  Fire stone 0-5 Mrara.

Mchezo wa pili Fire stone imemlaza Bm Fc  kwa bao 1-0.
Ligi daraja la tatu mkoa wa Manyara itaendelea tena kesho kwa michezo miwili,saa 8:00 Red Star Fc VS Halmashauri Fc,saa 10:00 Morning Star VS Bm Fc.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top