0
 Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Juma Asaad (kushoto)
akiwa na  Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi Dk.Laurean
Ndumbaro (kulia)wakifurahia jambo wakati aliokuwa kimsindikiza mara baada
Katibu Mkuu huyo kufungua mkuatano mkuu  wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya
CAG uliofanyika mjini Dodoma leo.
 Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais Utumishi Dk.Laurean Ndumbaro akizungumza wakati wa kufungua mkutano mkuu
wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) lililofanyika mjini Dodoma leo .
 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi Dk.Laurean Ndumbaro akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la wafanyakazi Ofisi ya CAG.
 Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof Musa Asaad
akitoa taarifa ya Ofisi yake wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa Baraza la
Wafanyakazi wa Ofisi ya CAG lililofanyika leo jijini  Dodoma .
 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi Dk.Laurean Ndumbaro akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la wafanyakazi Ofisi ya CAG.
wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Ukaguzi

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top