0

Image result for mbunge jitu
Kulia mheshimiwa waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Babati Vijijini Jitu Son.Picha ya maabara.
Mbunge wa Babati vijijni Virajilal-Jituson amesimulia jins i namba yake ya simu y a mkononimtandao wa Airtel ilivyoibwa na kutumika na mtu mwingine.
MheshimiwaJitu amesema kuwa jana akiwa kwenye moja ya vikao Jijini Dodoma  alishangaa ghafla simu yake ya Airtel inakata mawasiliano na kuandika Insert Sim card nabaadaye watu wake wa karibu wakaanza kumtumia meseji walizokuwa wakitumiwa na mtu huyo ambaye alihitaji kutumiwa kiasi cha pesa kwa namba ya Vodacom waliokuwa
wakiitaja pamoja na jina iliyosajiliwa kwenye M.Pesa.
Hii hapa nisauti ya Mheshimiwa Jituson akizungumzia kisa Kizima.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top