
Dkt.
Slaa ameibuka baada ya kutajwa na kuhojiwa kwa Askofu wa Kanisa la
Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ambaye alikuwa rafiki yake na
‘muwezeshaji’ wake kabla siasa za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015
hazijawageuza kuwa mahasimu.
Akizungumza
jana kanisani kwake wakati akiwasimulia waumini wake mkasa uliompata
tangu alipowasili katika kituo cha kati cha polisi jijini Dar es Salaam
hadi alipoachiwa, Askofu Gwajima alisema kuwa alipokea ujumbe wa Dk.
Slaa ambaye alimtetea dhidi ya tuhuma hizo.
Post a Comment
karibu kwa maoni