Uongozi mzima wa CHADEMA wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Leo umekihama chama hicho na kujiunga na CCM, sababu ni uamuzi wa juu wa CHADEMA kumpokea Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA.
Viongozi wa wilaya ya Ilemela akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Damas Kimenyi, kujiunga CCM.
Wamemshutumu Freeman Mbowe (Mwenyekiti Taifa CHADEMA) kwamba anaunga mkono matumizi ya dawa za kulevya nchini.
Post a Comment
karibu kwa maoni