0
Displaying IMG_7965.JPG
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (wa pili kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (wa pili kushoto) wakiondoka baada kusainiwa kwa mkataba wa mkopo wenye riba nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua-Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dar es salaam.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WFM)
Displaying IMG_7862.JPGWaziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (MB), (kulia), akipeana mkono na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (katikati), baada ya kubadilishana Hati ya Mkopo wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua- Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es Salaam.
Displaying IMG_7864.JPG
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (kushoto), wakisaini mkataba wa makubaliano ya mkopo wa wa riba nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua- Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam..

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top