Anaitwa Hassan Mga kijana kutokea Mbeya, anadai mwaka 2003 akiwa darasa la tatu alichukuliwa msukule na baada ya kuumwa vikali kichwa na kupelekwa hospitali na mwishowe 'kufa' kimsukule
Anadai uliyechukuliwa msukule huwa anaona yanavyofanyika mazishi yake lakini wao hawaomuoni na hawezi kuongea nao
Alidai walichukuliwa na kwenda kutumikishwa bandarini kupakua makontena mizigo, chakula walichokuwa wakila ilikuwa ni nyama mbichi, pumba na unga uliokorogwa...walikuwa hawanywi maji ila damu
Ila kuna siku alilishwa chakula ambacho hawaruhusiwi kula huko(ubwabwa anadai) ndipo akaibuka dunia hii sehemu ambayo haifahamu na watu kumkimbia na alipata wakati mgumu watukumuelewa...ilaalifanyiwa maombi kanisani ndipo akaweza kuongea na kurudia kawaida
Post a Comment
karibu kwa maoni