0
  1. Azam FC- Wachukua tuzo ya timu iliyoshika nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu VPL na wameshinda shilingi milion 24
  2. Kagera Sugar- Wachukua tuzo ya timu iliyoshika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu VPL na wameshinda shilingi milion 30
  3. Simba SC- Wachukua tuzo ya timu iliyoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu VPL na wameshinda shilingi milion 44
  4. Yanga FC- Wachukua tuzo ya timu iliyoshika nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa Ligi Kuu VPL na wameshinda shilingi milion 84
  5. Mfungaji Bora-Msuva na Abraham Mussa na wameshinda shilingi Milion 5 na laki 8 kila mmoja
  6. Timu yenye Nidhamu- Timu yenye nidhamu wameshinda Mwadui FC na wameshinda milion 17 na laki 5
  7. Mwamuzi bora wa mwaka- Mwamuzi bora wa mwaka ni Eli Sasi wa Dar es salaam
  8. Kocha bora- kocha bora wa mwaka ni Mecky Mexime kutoka Kagera na ameshinda shilingi milion 8
  9. Kipa Bora- Kipa bora wa mwaka ni Manula wa Azam FC na ameshinda mil 5 laki 8
  10. Mchezaji Bora wa Kigeni- Mchezaji bora wa kigeni ni Niyonzima kutoka Yanga FC na ameshinda mil 5 na laki 8
  11.  Mchezaji Bora Chipukizi- Mchezaji bora Chipukizi ni Mbaraka Abeid kutoka Kagera Sugar na amejishindia mil 4
  12. Tuzo ya Ismail , Tuzo ya kumuenzi Mchezaji wa Mbao FC Ismail aliyefariki uwanjani inachukuliwa na Shaban kutoka Azam
  13. Goli Bora la mwaka- Tuzo ya Goli bora la mwaka Ligi kuu Tanzania Bara anachukua Kichuya kutoa Simba SC na ameshinda mil 3
  14. Mchezaji Bora wa Mwaka-Tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Ligi Kuu Tanzania Bara ni Mohamed Hussen kutoka Simba.                                                                                                                                      Usiku wa May 24 2017 imekua siku rasmi ambapo tuzo za Vodacom Tanzania Premier League zimetolewa kwa Wachezaji na timu za bongo na list yenyewe ndio hii hapa chini

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top