0






Tabasamu kwa sababu
Shilingi 200 yako ina thamani kwani hakuna anaechukilia poa Shilingi  200




Airtel wamerejesha thamani
ya Shilingi 200 kama enzi zile… Kwani vocha ya Tabasamu kwa Shilingi 200 tu
inakuwezesha kuongea na uwapendao na inapatikana mtaani kwako na kote nchini
kwa urahisi.








Sio hilo tu ukinunua vocha
ya Tabasamsu kwa Shilingi 200 unaweza pia kununua bando, hii ni baada ya
kununua vocha yako na kuongeza salio kisha utapiga *149*99# na utachagua




·        Tatu
Kupiga Airtel kwenda mitandao mingine AU




·        Nne
kupiga Airtel kwenda Airtel




Hii ni njia sahihi ya
maisha, Hamia Airtel leo








Airtel Mtandao bomba kwa
smartphone yako




Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top