Kufuatia kifo cha Mke wa Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe, Linah George
Mwakyembe, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli
ametuma salamu za rambirambi Waziri Mwakyembe na familia yake kwa ujumla.
Mke wa Mwakyembe Bi. Linah Mwakyembe amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Agha Khan alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mke wa Mwakyembe Bi. Linah Mwakyembe amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Agha Khan alipokuwa akipatiwa matibabu.
Post a Comment
karibu kwa maoni