0
Wiki iliyopita mjini Dodoma kulitokea tukio ambalo liligusa vichwa vya watu wengi Duniani kuhusu Rais wa chama cha mawakili Tanzania [TLS] kupigwa risasi ambazo zilimjeruhi vibaya katika mwili wake haswa tumboni.
Viongozi mbali mbali duniani kuonyesha kusikitishwa na tukio hilo kila mmoja kwa wakati wake alipost kile alichoweza ili mradi kuwatia moyo watanzania ambao wameumizwa na jambo hilo na familia yake kwa ujumla.
Leo katika ukurasa wake wa Twitter Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amepost ujumbe huu pamoja na picha ya gari.
Kama jambo haulijui, haujalishiriki bora nyamaza. Kutunga Uongo au kuonekana unajua sana kufikiri dhidi ya uhalisia hakutasaidia upelelezi.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top