World Vision kwa kushirikiana na wizara
ya afya,ustawi wa jamii,jinsia wazee na watoto ilitoa mafunzo kwa watoa huduma za afya ngazi ya jamii wapatao 36 kwa lengo la kutoa elimu kwa jamii juu ya uzazi na lishe kwa Mama na mtoto katika Tarafa ya Gorowa.
Mkurugenzi wa Halmashaurin ya wilaya ya Babati Hamis Malinga alikuwa mgeni Rasmi katika kuhitimisha Mafunzo hayo ambapo licha ya kuwakabidhi vyeti washiriki alipata nafasi ya kutoa nasaha zake.
Mkurugenzi wa Halmashaurin ya wilaya ya Babati Hamis Malinga alikuwa mgeni Rasmi katika kuhitimisha Mafunzo hayo ambapo licha ya kuwakabidhi vyeti washiriki alipata nafasi ya kutoa nasaha zake.
Post a Comment
karibu kwa maoni