0






Moja kati ya changamoto kubwa zinazokabili sekta ya wanyamapori nchini ni
pamoja na migogoro inayoendelea katika hifadhi mbalimbali nchini ambapo.



 Mwenyekiti wa Taasisi ya Watafiti wa
Wanyamapori Tanzania Prof. Prinalia Elkanaperika amezitaja hifadhi tano
zinazoongoza kwa migogoro hiyo.



Mikoa hiyo imetajwa kuwa ni pamoja na Manyara, Kilimanjaro, Iringa, Njombe,
Morogoro na maeneo ambayo yako karibu na hifadhi za wanyama ambayo pia yako
katika hatari kubwa ya kuingiliwa na wanyamapori japokuwa maaskari wa hifadhi
hizo wanajitahidi kuzuia matukio hayo.



Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top