Wakazi Wa Kijiji Cha Nakwa Kilichopo Wilayani Babati Mkoani
Manyara Wamelalamikia Halmashauri Ya Mji
Wa Babati Kwa Kuwakabidhi Mradi Wa
Maji Uliochini Ya Kiwango Ambao Ulitarajiwa Kuhudumia Wakazi Elfu Tano [5000] Wa Kijiji Hicho Lakini
Mradi Huo Kwa Sasa Ni Kilio Kwa
Wananchi Kutokana Na Maji Kutopatikana
Kama Walivyo Tarajia .

Mradi Huo Unaolalamikiwa Kwa Kuwa Chini Ya Kiwango Unadaiwa Kutumia Millioni 800.1 Huku Miundo Mbinu Yake Ikiwa Haiwezi Kuhimili
Kupitisha Maji Kwa Muda Mrefu Hali Inayosababisha Kupasuka Kwa Mabomba
Na Wakazi Kuendelea Kuteseka Kwa Kukosa Maji Ambayo Yamekuwa Yakitoka Kwa Zamu Huku Vituo Vingine Vikielezwa Kutokutoa Maji
Toka Mradi Huo Uanze.

Hatahivyo Muhandisi Wa Mradi Huo Ernest Kakore Amesema Kuwa
Wananchi Bado Hawajaonesha Kuupenda Mradi Ndomana Unapelekea Kuwa Na
Changamoto.
Wananchi Bado Hawajaonesha Kuupenda Mradi Ndomana Unapelekea Kuwa Na
Changamoto.
Naye Mkurugenzi Halmashauri Ya Mji Wa Babati Fortunatas
Fwema Amekiri Kuwa Mradi Bado Unalalamikiwa Na Wanakijiji Kutokana Na Baadhi Ya Taratibu
Kutokutekelezwa Kwani Aliwahi
Kutembelea Mradi Huo Na Wataalamu Wa Maji
Na Kuptia Vikao Mbalimbali Wamemwandikia Kamanda Wa Taasisi Ya Kuzuia Na
Kupambana Na Rushwa[ Pccb] Kwa Ajili Ya Uchunguzi Zaidi.

Hivi Sasa Ni Takribani Miezi Sita Toka Kuzinduliwa Kwa Mradi Huo Na Mkuu Wa Mkoa
Wa Manyara Dr. Joel Bendera Lakini Bado
Mafanikio Hayajaonekana.
Wa Manyara Dr. Joel Bendera Lakini Bado
Mafanikio Hayajaonekana.
Post a Comment
karibu kwa maoni