0

Rais John Pombe Magufuli leo Septemba 12, 2017 amemtembelea Meja Jen. Mstaafu Vincent Mribata aliyelazwa katika hospitali Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo Tanzania baada ya mstaafu huyo kushambuliwa risasi na watu wasiojulika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) wakioneshwa na Brigedia Jenerali Dkt. Paul Massawe Brigedia risasi zilizotolewa kwenye mwili wa Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba baada ya kushambuliwa wakati akiingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.

Matukio ya watu kushambuliwa kwa risasi nchini yanazidi kuongezeka hili limekuwa ni tukio la pili kwa mwezi huu Septemba baada ya shambulizi la kwanza lililompata Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu Septemba 7, 2017 akiwa mjini Dodoma, lakini pia Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliwahi kutishiwa bastola na watu wasiojulikana.
Rais John Pombe Magufuli leo Septemba 12, 2017 amemtembelea Meja Jen. Mstaafu Vincent Mribata aliyelazwa katika hospitali Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo Tanzania baada ya mstaafu huyo kushambuliwa risasi na watu wasiojulikana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) wakioneshwa na Brigedia Jenerali Dkt. Paul Massawe Brigedia risasi zilizotolewa kwenye mwili wa Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba baada ya kushambuliwa wakati akiingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.

Matukio ya watu kushambuliwa kwa risasi nchini yanazidi kuongezeka hili limekuwa ni tukio la pili kwa mwezi huu Septemba baada ya shambulizi la kwanza lililompata Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu Septemba 7, 2017 akiwa mjini Dodoma, lakini pia Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliwahi kutishiwa bastola na watu wasiojulikana.

Post a Comment

karibu kwa maoni

Top