Rais Uhuru Kenyatta Ameliagiza Jeshi La Polisi Kuongeza Ulinzi Katika Hospitali Ya Agha Khan Nairobi Alipolazwa Tundu Lissu.
Hii ni kwa ajili ya kuchukua tahadhari ya usalama ili wale waovu kama watajaribu kumfuatilia tena huko Kenya basi washughulikiwe ipasavyo.
Source ITV habari!
Hii ni kwa ajili ya kuchukua tahadhari ya usalama ili wale waovu kama watajaribu kumfuatilia tena huko Kenya basi washughulikiwe ipasavyo.
Source ITV habari!
Post a Comment
karibu kwa maoni