0
Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu mbunge wa Singida Mashariki, Tundu
Lissi kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana nyumbani kwake
Dodoma na kwa sasa akiendelea kutibiwa Nairobi Kenya, Chama cha
Demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa mara nyingine wamekutana leo
Spetember 12 2017 kuzungumza na wana habari kuhusu tukio la kushambuliwa
Tundu Lissu na hali yake inavyoendelea kwa sasa

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top