0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (kushoto) na Mwakilishi wa Wahisani kutoka Benki ya Dunia, Denmark, Ireland, Korea, UNICEF, Canada na Switzerland, Balozi wa Denmark nchini Tanzania Bw. Einar Jensen, wakibadilishana Hati ya makubaliano ya Msaada wa Sh. bilioni 228 kwa ajili ya Mfuko wa Afya, wenye lengo la kuboresha huduma za afya hapa nchini, hafla iliyofanika Ofisi za Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top