Mchezo kati ya SIMBA SC ya Dar es Salaam na Al Masry ya Misri umevunjika baada ya mvua ya ghafla kunyesha na kusababisaha maji kujaa uwanja wa taifa huku umeme ukizimika.
Mchezo huo ulikuwa ni wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika.
Mchezo huo ulioanza Saa 12:00 jioni ulivunjika dakika ya 77 huku timu zote zikiwa zimeshafungana mabao 2-2.
Timu zote mbili zilionyesha uwezo walionao kwa kutandaza kabumbu safi.
Mchezo huo unatarajiwa kurudiwa kesho.
Post a Comment
karibu kwa maoni