Chama cha mpira wa miguu wilaya ya Babati mkoani Manyara (BDFA) kimefanya uchaguzi mkuu wa kuchagua Viongozi mbalimbali watakaoongoza kwa muda wa miaka minne.
Katika chaguzi huo aliyekuwa mwenyekiti Gerald Romli Mtui ameendelea kubakia kwenye nafasi yake hadi mwaka 2028 baada ya kupita bila kupingwa.
Matokeo ya uchaguzi wa chama Cha mpira wa miguu wilaya Babati BDFA kwa nafasi zingine ni kama ifuatavyo.
NAFASI YA MJUMBE WA MKUTANO MKUU MARFA.
Idadi ya kura zilizopigwa ni 52..
Kura zilizoharibika ni 2
1.WILHEMON MAYO KURA 11.
2. SHAFI MBWANA MOHAMED KURA 39.
NAFASI YA MJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI.
1. ZUWENA KIMBE
Amepita bila kupingwa..
Post a Comment
karibu kwa maoni
EmoticonClick to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.