0
ZITTO SI MWANACHAMA TENA WA CHADEMA - TUNDU LISSU
Mwanasheria mkuu wa chama cha upinzani nchini Chadema Tundu Lissu leo ametangaza kuvuliwa uanachama kwa mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, baada ya mahakama kutupilia mbali pingamizi la mbunge huyo la kuzuia asijadiliwe.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top